Adjectives nyingi huwa zina miundo mitatu , yani positive , comparative na superlative .
Positive comparative superlative
Sad sadder saddest
tall taller tallest
big bigger biggest
Positive - hizi ni adjectives ambazo zipo katika hali yake ( havipo kwenye ulinganishaji )
Comparative hii hutumika kulinganisha watu au vitu viwili .
-Huwa tunatumia neno than .
For example :
He is taller than me .
( Yeye ni mrefu kuliko mimi )
Marry is prettier than you .
( Marry ni mrembo kuliko wewe )
This game is easier than last one .
I am stronger than Dan
( Nina nguvu kuliko Dan ) .
Alex is smatter than John
She likes him more than me .
( Anampenda yeye kuliko mimi )
Superlative hii hutumika kulinganisha mtu au kitu kimoja dhidi ya vitu vingine vingi katika makundi yao .
- Huwa tunatumia neno the kulinganishia .
For example :
I was the tallest boy in the class .
( Nilikuwa mvulana mrefu zaidi darasani )
Omary is the oldest man in town
My mother's cooking is the best in the family .
No comments:
Post a Comment