Adverbs -haya ni maneno ambayo yanaelezea zaidi kuhusu vitenzi ( verbs ) au adjectives ( vivumishi ) .
MIFANO YA ADVERBS
slowly
quietly
badly
beautifully
dangerously
carefully
easily
healthily
well
fast
hard
usually
normally
always
daily
Examples :
My car is running fast
( Gari langu linakimbia haraka )
Listen to my speech carefully
( Sikiliza speech yangu kwa umakini )
My sister drives slowly, but I
drive fast.
( Dada yangu huendesha taratibu , lakini mimi naendesha haraka )
The teacher spoke so quietly that I
couldn’t hear her.
( Mwalimu aliongea taratibu sana hivyo sikuweza kumsikia )
I can read English well, but I speak
badly.
( Naweza kusoma kiingereza vizuri , lakini naongea vibaya )
We wrote the letter carefully so as
not to make a mistake.
( Tuliandika barua kwa umakini hivyo ili tusifanye makosa )
Janet works very hard. She arrives at work early and leaves late.
( Janet anafanya kazi kwa bidii . Anafika kazini mapema na anachelewa kuondoka )
0 Comments