Adjectives- haya ni maneno ambayo yanaelezea na kutoa maelezo zaidi kuhusu nouns ( majina )
For example :
A sweet taste ( Radha tamu )
A red apple ( Tofaa jekundu )
Heavy boxes ( Masanduku mazito)
A black cat ( Paka mweusi )
ATTRIBUTIVE AND PREDICATIVE
Adjectives ( vivumishi ) huwa tunavi tumia katika sehemu mbili.
- Pindi tunapotumia adjectives kabla ya noun , hivi tunaviita attributive
For example :
A black cat
A red apple
A pretty girl
A green car
- Pindi tunapo vitumia baada ya verb ( kitenzi ) kama vile be verbs ( am , is , are , was , were , be , being , been ) , become , grow , look au seem.....hivi tunaviita predicative .
For example :
- The food is delicious
( chakula ni kitamu )
- The cat was black
( Paka alikuwa mweusi )
-My car is green
( Gari langu ni la kijani )
Bofya hapa kujifunza zaidi kuhusu adjectives👉👉 Comparative and superlative
0 Comments