TENSES ( NYAKATI ) - English Kona

Hot

Post Top Ad


Monday, 7 January 2019

TENSES ( NYAKATI )Tenses huelezea wakati au muda tendo linafanyika , lilifanyika au litafanyika .

Katika kiingereza kuna tenses ( nyakati ) kuu tatu , ambazo ni :

The present tense ( wakati uliopo)
The past tense ( wakati uliopita )
The future tense ( wakati ujao )

Na kila tense imegawanyika katika sehemu kuu nne ambazo : simple , continous , perfect na continous perfect.

1. PRESENT TENSE ( Wakati uliopo )

I. Simple present tense
II. Present continous tense
III. Present perfect tense
IV.  Present perfect continuous tense

2. PAST TENSE ( Wakati uliopita )

I.  Simple past tense
II. Past continuous tense
III. Past perfect tense
IV.  Past perfect continuous tense

3. FUTURE TENSE ( Wakati ujao )

I.  Simple future tense
II. Future continuous tense
III.Future perfect tense
IV. Future perfect continuous tense

No comments:

Post a comment

Post Top Ad

UJUMBE MUHIMU KWA AJILI YAKO WEWE MSOMAJI:

"TUNAWASAIDIA WATU KUJIFUNZA KUONGEA KIINGEREZA KWA UFASAHA NA KWA KUJIAMINI ZAIDI KUPITIA WHATSAPP"