Karibu EnglishKona.com ujifunze lugha ya kiingereza , katika somo la leo utajifunza tofauti na jinsi ya kutumia lose na miss kwa ufasaha kabisa .
Watu wengi wanashindwa kutumia maneno haya kwa ufasaha , mara nyingi wanachanganya matumizi yao .
Basi makala hii imeeleza kwa undani jinsi ya kutumia maneno haya kwa ufasaha .
LOSE ( poteza )
➡ Tumia lose kwa vitu ( objects )
-He lost his phone .
( Alipoteza simu yake )
-Oh no ! I lost my keys !
" Oh no ! Nilpoteza fungua zangu "
- I lost my hat
( Nilipoteza kofia yangu )
➡ Tumia lose kwa michezo
-My football club lost 3-0 in the simifinal
( klabu yangu ya mpira wa miguu imefungwa 3-0 katika nusu fainali )
- Our team lost .
( Timu yetu ilipoteza ( imefungwa )
MISS ( kukosa, kukumbuka)
➡Tumia miss kwa usafiri ( ndege , treni , basi )
-I missed the 7:00 train , so I had to take the 8 : 00 one .
( Nilikosa treni la saa moja , hivyo ilinibidi nichukue treni la saa mbili )
-She has not come yet. She may have missed the train .
( Hajafika bado . Atakua amekosa treni)
- I missed my flight .
(Nilichelewa / niliachwa na ndege yangu )
➡ Tumia miss kwa matukio ( events ) na nafasi ( opportunities )
-I missed the TV program last night .
( Nimekosa kipindi cha TV usiku uliopita )
Pia tunatumia miss kuongelea huzuni pindi tunapokuwa hatuwaoni watu fulani .
-My brother moved to Arusha last month . I really miss him ! "
( Kaka yangu alihamia Arusha mwezi uliopita . Nina mkumbuka sana .
-I miss you . ( Ninakukumbuka )
" FUTA MAKOSA YOTE UNAYOFANYA KATIKA LUGHA YA KIINGEREZA NA UWEZE KUONGEA LUGHA YA KIINGEREZA KWA UFASAHA KABISA NA KUJIAMINI .....KUJUA ZAIDI BOFYA HAPA "
2 Comments
yalova escort
ReplyDeleteigdir escort
ardahan escort
Marvelous work!. Blog is brilliantly written and provides all necessary information I really like this awesome post. Thanks for sharing this useful post.
ReplyDeletehttps://www.bharattaxi.com