Header Ads Widget

Jifunze tofauti kati ya LOSE na MISSKaribu EnglishKona.com ujifunze lugha ya kiingereza , katika somo la leo utajifunza tofauti na jinsi ya kutumia lose na miss kwa ufasaha kabisa .  

Watu wengi wanashindwa kutumia maneno haya kwa ufasaha , mara nyingi wanachanganya matumizi yao .

Basi makala hii imeeleza kwa undani jinsi ya kutumia maneno haya kwa ufasaha .
            
                      LOSE ( poteza )

➡ Tumia lose kwa vitu ( objects )

 -He lost his phone .
( Alipoteza simu yake )

-Oh no ! I lost my keys !
" Oh no ! Nilpoteza fungua zangu "

- I lost my hat
( Nilipoteza kofia yangu )

➡ Tumia lose kwa michezo

-My football club lost 3-0 in the simifinal
( klabu yangu ya mpira wa miguu imefungwa 3-0 katika nusu fainali )

- Our team lost .
    ( Timu yetu ilipoteza ( imefungwa )

                   MISS ( kukosa, kukumbuka)

➡Tumia miss kwa usafiri ( ndege , treni , basi )

-I missed the 7:00 train , so I had to take the 8 : 00 one .
( Nilikosa treni la saa moja , hivyo ilinibidi nichukue treni la saa mbili )

-She has not come yet. She may  have missed the train .
( Hajafika bado . Atakua amekosa treni)

- I missed my flight .
(Nilichelewa / niliachwa na ndege yangu )

➡ Tumia miss kwa matukio ( events ) na nafasi ( opportunities )

-I  missed the TV program last night .
( Nimekosa kipindi cha TV usiku uliopita )

Pia tunatumia miss kuongelea huzuni pindi tunapokuwa hatuwaoni watu fulani .

-My brother moved to Arusha last month . I really miss him ! "
( Kaka yangu alihamia Arusha mwezi uliopita . Nina mkumbuka sana .

-I miss you . ( Ninakukumbuka )

" FUTA MAKOSA YOTE UNAYOFANYA KATIKA LUGHA YA KIINGEREZA NA UWEZE KUONGEA LUGHA YA KIINGEREZA KWA UFASAHA KABISA NA KUJIAMINI .....KUJUA ZAIDI BOFYA HAPA "

Post a Comment

2 Comments

  1. Marvelous work!. Blog is brilliantly written and provides all necessary information I really like this awesome post. Thanks for sharing this useful post. 
    https://www.bharattaxi.com

    ReplyDelete