USISEME " I have difficulty to wake up early "
( Nina ugumu wa kuamka mapema )
SEMA : " It's difficult for me to wake up early "
( Ni ngumu kwangu kuamka mapema )
AU : " It's hard for me to wake up early "
( Ni ngumu kwangu kuamka mapema ) - Informal .
Katika kiingereza cha kuongea , neno hard linatumika mara nyingi badala ya " difficult " .
Phrase hii " I have difficulty " inatumika kabla ya noun ( jina ) . Na phrase hii " It's difficult " au " It's hard " inatumika kabla ya verb ( kitenzi )
➡ I have diffulty with grammar .
➡ It's difficult for me to understand English . / It's hard for me to understand English .
" Futa makosa yote ambayo unayofanya katika lugha ya kiingereza , ongea sasa kiingereza kwa ufasaha kwa kujiunga na kozi yetu ya EnglishKona Fluency Club .....kujua zaidi BOFYA HAPA
2 Comments
W88yes
ReplyDeleteĐăng ký tài khoản đá gà trực tuyến. Bước này hoàn toàn miễn phí, sau khi đăng ký khoảng 5 phút, tài khoản đá gà sẽ được dagasv388.com gửi tin qua điện thoại cho bạn. Bạn có thể xem hướng dẫn đăng ký tại đây.
ReplyDelete