DARASA BURE! Jifunze kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha kabisa. - English Kona

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, 8 February 2020

DARASA BURE! Jifunze kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha kabisa.
DARASA BURE! Jifunze kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha kabisa.

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanaopenda kujua kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha na umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu na tatizo hilo bila ya kupata utatuzi wa uhakika kabisa juu ya hilo, naomba usome hapa chini kwa umakini itakusaidia:

English Kona tunakutatulia tatizo lako hilo kwa uhakika kabisa na utaweza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha kabisa.
Tunakutatulia tatizo lako hilo kwa kukupatia kozi maalumu ya kiingereza online ambayo inafanyika kupitia WhatsApp.

✓Katika kozi hiyo utasoma kwa njia ya notes , audios na videos.
✓Utapata mafunzo kila siku moja kwa moja kwenye simu yako.
✓Unasoma peke yako wewe na mwalimu na sio kwenye group. Mwalimu atakushika mkono hatua kwa hatua mpaka unakuwa fasaha.
✓Kozi ni miezi minne mpaka kuwa fasaha kabisa.

FAIDA ZA KUJIUNGA KATIKA DARASA LETU HILI:

✓Unasoma moja kwa moja wewe na mwalimu, hivyo unakuwa unapata nafasi kubwa ya kujifunza na kuelewa kwa urahisi na haraka zaidi.
✓ Unasoma muda wowote na mahali popote pale unapokuwa free. Haina haja ya kwenda darasani, mafunzo unayapata moja kwa moja kwenye simu yako kupitia WhatsApp kila siku. Sisi tupo muda wote kukusaidia.
✓ Unapata nafasi kubwa ya kufanya mazoezi ya kuongea kiingereza wewe na mwalimu, hivyo ndani ya muda mchache unakuwa fasaha kabisa katika lugha hii.

KATIKA DARASA LETU UNAANZA KUJIFUNZA BURE KABISA, SISI ENGLISH KONA TUPO KUWASAIDIA WATU KUIFAHAMU LUGHA YA KIINGEREZA.
NA KWA BAADAE UTAKAPOLIDHIKA NA MAFUNZO YETU UTAANZA KULIPIA SH.12,000 KWA KILA MWEZI.

JIUNGE LEO KATIKA KOZI YETU BUREE ILI UWEZE KUFAIDIKA NA MAFUNZO YETU. BONYEZA HAPO CHINI 👇👇:


AU
WASILIANA NASI KUPITIA WHATSAPP AU KUTUPIGIA:

+255 767 329 643

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

SUBSCRIBE CHANNEL YETU