Header Ads Widget

Formal na Informal English - Jifunze kiingereza

Hello! Karibu tena English Kona kujifunza kiingereza. Katika somo letu la leo utajifunza kitu muhimu sana ambacho unatakiwa kukifahamu mapema sana katika safari yako ya kujifunza kiingereza.

Katika lugha ya kiingereza , kuna njia mbili za kuongea au kuwasiliana ambazo ni :

I . Formal ( rasmi )
II . Informal ( isiyo rasmi )

Ili uweze kuwa fasaha katika lugha, unatakiwa kufahamu kuhusu formal & informal English ili uweze kuongea kiingereza kwa ufasaha kabisa.

Hivyo tazama video hii ili uweze kujifunza zaidi 👇👇👇 :Pia tafadhali subscribe channel yetu ya English Kona ili uweze kupata mafunzo zaidi ya kiingereza.

Post a Comment

0 Comments