Jinsi ya kutamka WHERE, WERE na WE'RE kwa ufasaha - English Kona

Hot

Post Top Ad


Wednesday, 8 April 2020

Jinsi ya kutamka WHERE, WERE na WE'RE kwa ufasaha

Hello! Karibu English Kona kujifunza kiingereza. Katika somo letu la leo tutajifunza jinsi ya kutamka maneno haya Where, Were na We're kwa ufasaha kabisa.

Watu wengi wanaojifunza kiingereza wanachanganya sana matamshi ya maneno haya kutokana na kufanana kwao. Hivyo wanaishia kufanya makosa katika kutamka maneno haya, na hii hupelekea kutokueleweka vizuri  kwa msikilizaji.

Leo nimekuwekea video ya dakika mbili (2) hapa ambayo inaelezea jinsi ya kutamka maneno haya matatu yanayochanganya, na pamoja na mifano ya kutosha ambayo itakusaidia vizuri. Pia usisahau ku-subscribe channel yetu hii ya kiingereza ya English Kona.

Tazama : Jinsi ya kutamka WHERE,  WERE na WE'RE kwa ufasaha kabisa:


Tafadhali subscribe channel yetu ili uweze kupata mafunzo zaidi ya kiingereza.

BONYEZA HAPA

No comments:

Post a comment

Post Top Ad

UJUMBE MUHIMU KWA AJILI YAKO WEWE MSOMAJI:

"TUNAWASAIDIA WATU KUJIFUNZA KUONGEA KIINGEREZA KWA UFASAHA NA KWA KUJIAMINI ZAIDI KUPITIA WHATSAPP"