Past Perfect Tense - English Kona

Hot

Post Top Ad


Monday, 14 September 2020

Past Perfect TenseThe Past Perfect Tense nyakati hii tunaitumia kuongelea vitendo ambavyo vilifanyika wakati uliopita ambavyo vimekamilika (hali timilifu)


MIUNDO YA SENTENSI  

Kama kawaida huwa tuna miundo mitatu ya sentensi ambayo ni :

1. Sentensi za kukubali / chanya
2. Sentensi za kukanusha
3. Sentensi za kuuliza maswali

1. Sentensi chanya

Mtenda + had + verb

MIFANO :

I had finished my work.
(Nilikuwa nimemaliza kazi yangu.)

I had arrived.
(Nilikuwa nimewasiri.)

They had eaten dinner.
(Walikuwa wamekula chakula usiku.)

She had lived in Arusha before moving to Dar es salaam.
(Alikuwa akiishi Arusha kabla ya kuhamia Dar es salaam.)

Your sister had met me before the party.
(Dada yako alikutana nami kabla ya sherehe.)

My father had gone to work.
(Baba yangu alikuwa ameenda kazini.)

2. Sentensi za kukanusha

Muundo wa sentensi hizi huwa hivi:

Mtenda + had + not + verb 

MIFANO :


I had not gone to school.
(Nilikuwa sijaenda kazini.)

She had not arrived.
(Alikuwa hajawasiri.)

Anna had not met him.
(Anna alikuwa hajakutana nae.)

The train had not left.

(Treni lilikuwa halijaondoka.)

3. Sentensi za kuuliza maswali

Muundo wa sentensi hizi huwa hivi:

had + mtenda + verb 


MIFANO :

had you eaten lunch?
(Je ulikuwa umekula chakula cha mchana?)

had she visited us?
(Je alikuwa ametutembelea?)

had
Mary read this book?

(Je Mary alikuwa amesoma kitabu hiki?)

No comments:

Post a comment

Post Top Ad

UJUMBE MUHIMU KWA AJILI YAKO WEWE MSOMAJI:

"TUNAWASAIDIA WATU KUJIFUNZA KUONGEA KIINGEREZA KWA UFASAHA NA KWA KUJIAMINI ZAIDI KUPITIA WHATSAPP"