Past Perfect Tense

 Past Perfect Tense
(Wakati uliopita hali timilifu)

The Past Perfect Tense nyakati hii tunaitumia kuongelea vitendo ambavyo vilifanyika wakati uliopita ambavyo vimekamilika (hali timilifu)


MIUNDO YA SENTENSI  

Kama kawaida huwa tuna miundo mitatu ya sentensi ambayo ni :

1. Sentensi za kukubali / chanya
2. Sentensi za kukanusha
3. Sentensi za kuuliza maswali


1. Sentensi chanya

Mtenda + had + verb (participle)

MIFANO :

had finished my work.
(Nilikuwa nimemaliza kazi yangu.)

had arrived.
(Nilikuwa nimewasiri.)

They had eaten dinner.
(Walikuwa wamekula chakula usiku.)

She had lived in Arusha before moving to Dar es salaam.
(Alikuwa akiishi Arusha kabla ya kuhamia Dar es salaam.)

Your sister had met me before the party.
(Dada yako alikutana nami kabla ya sherehe.)

My father had gone to work.
(Baba yangu alikuwa ameenda kazini.)

2. Sentensi za kukanusha


Muundo wa sentensi hizi huwa hivi:

Mtenda + had + not + verb 

MIFANO :


had not gone to school.
(Nilikuwa sijaenda kazini.)

She had not arrived.
(Alikuwa hajawasiri.)

Anna had not met him.
(Anna alikuwa hajakutana nae.)

The train had not left.

(Treni lilikuwa halijaondoka.)

3. Sentensi za kuuliza maswali


Muundo wa sentensi hizi huwa hivi:

had + mtenda + verb 


MIFANO :

had you eaten lunch?
(Je ulikuwa umekula chakula cha mchana?)

had she visited us?
(Je alikuwa ametutembelea?)

Asante kwa kutembelea EnglishKona.com natumaini umejifunza vizuri somo letu hili la leo. Tufuatilie Facebook, Instagram na YouTube kwa jina la English Kona

Soma Tenses somo la 08 : Past Perfect Continuous Tense

English Kona tunawasaidia watu kujifunza kuongea na kuandika lugha ya kiingereza kwa ufasaha kuptia WhatsApp. Fahamu zaidi kuhusu kozi yetu BOFYA HAPA

OFA KUBWA :


had
 Mary read this book?

(Je Mary alikuwa amesoma kitabu hiki?)

Post a Comment

0 Comments