Header Ads Widget

Jinsi Ya Kutumia neno JUST

Hello!

Karibu English Kona kujifunza Kiingereza. Katika somo la leo utajifunza jinsi ya kutumia neno JUST kwa usahihi. Hakikisha unasoma vizuri mpaka mwisho.
Just lina maana mbili kama ifuatavyo:


#1. Hivi punde / Sio mda mrefu


Tunatumia neno JUST kuelezea vitendo vilivyofanyika au kutokea muda sio mrefu.


Examples :

 •  I have just eaten lunch.
 •  (Nimekula chakula cha mchana) - mda sio mrefu


 • I have just finished work.
 • (Nimemaliza kazi.) - mda sio mrefu


 • I just finished watching a movie.
 • (Nimemaliza kuangalia movie) - Hivi punde 


 • Could you please repeat what you just said?
 • (Tafadhali unaweza kurudia ulichokisema hivi punde?)


 • My parents have just arrived at the station.
 • (Wazazi wangu wamefika stesheni.) - hivi punde


 

#2. TU 


Maana ya pili ya neno JUST inamaanisha TU


 Examples :


 • We have just one daughter.
 • (Tuna binti mmoja tu.)


 • My kids just use the internet for schoolwork, not for playing games.
 • (Watoto zangu wanatumia internet kwa kazi za shule tu, sio kwa  kucheza magemu.)


 • I'm just kidding.
 • (Natania tu.)


 • Give me just a little.
 • (Nipe kidogo tu.)


 • I'm just watching TV.
 • (Ninaangalia TV tu.)


 • I am just going for a walk.
 • (Naenda tu kutembea.)


 

#3. JUST NOW - sasa hivi


Tukitumia JUST na NOW  kwa pamoja tunamaanisha SASA HIVI


 Examples :


 • I left home just now
 • (Nimeondoka nyumbani sasa hivi)

 • She went out just now 
 • (Alitoka nje sasa hivi.)

 • I saw him just now.
 • (Nimemuona sasa hivi.)

Kufika hapa tumefika mwisho wa somo letu hili la leo. Naamini umeweza kujifunza vizuri matumizi ya JUST.


Je ungependa tukushike mkono katika safari yako ya kujifunza Kiingereza mpaka kuwa fasaha katika lugha hii? Kama jibu lako ndiyo tunakukaribisha katika kozi yetu maalumu ya Kiingereza inayofanyika WhatsApp inayoitwa WhatsApp English Course.

Katika course hii tutakushika mkono, na tutakuwa na wewe bega kwa bega mpaka unakuwa fasaha ndani ya miezi minne tu (Hata kama hujui kabisa.) 

Kupitia course hii utajifunza kuongea Kiingereza kwa ufasaha na kwa Kujiamini zaidi.


Utapata mafunzo kwa mpangilio mzuri (kuanzia mwanzo mpaka mwisho)


Utasoma kwa njia ya notes, audio pamoja na video.


Unapokea mafunzo yetu moja kwa moja kupitia simu yako kila siku, yaan utakuwa unasoma wewe binafsi tu na sio kwenye group (hii itakuwa rahisi kwako kuelewa)


𝐘𝐚𝐧𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐟𝐮𝐩𝐢 𝐮𝐭𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐳𝐮𝐧𝐠𝐮𝐦𝐳𝐚 𝐊𝐢𝐢𝐧𝐠𝐞𝐫𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐔𝐟𝐚𝐬𝐚𝐡𝐚 𝐧𝐚 𝐊𝐮𝐣𝐢𝐚𝐦𝐢𝐧𝐢 𝐍𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐌𝐢𝐞𝐳𝐢 𝐌𝐢𝐧𝐧𝐞 𝐓𝐮


Njia yetu inakurahisishia wewe Kuongea Kiingereza Kwa Ufasaha na Kujiamini katika mazingira yoyote yale ya kila siku. Tutakupatia masomo ambayo ni bora kwako. Siyo marahisi sana na wala sio magumu sana.


Yani hata kama hujui kabisa, course hii ni kwa ajili yako itakusaidia kutoka 𝐙𝐞𝐫𝐨 mpaka kuwa 𝐇𝐞𝐫𝐨.


Naamini dhumuni lako kubwa mpaka umefika hapa ni kutaka kujua Kuongea Kiingereza Kwa Ufasaha.

Na Unastahili kufanikiwa juu ya hilo.


Uzuri wa kozi yetu utajifunza mahali popote pale ulipo na muda wowote ule ambao utakuwa free.


Katika kozi hiii utafanya mazoezi ya kuongea ya kutosha, hivyo itakuwa rahisi kwako kuifahamu lugha hii kwa urahisi zaidi.


Unapofanya makosa unaerekebishwa na kufutwa hayo makosa.


Muda Ni Sasa

Bonyeza Hapa Kujiunga


 


Soma Pia : Mambo 7 Ambayo Unapaswa Kuyafahamu Ikiwa Unataka Kujifunza Kuongea Kiingereza Kwa Ufasaha Ndani Ya Muda Mchache (Hata Kama Hujui Kabisa Na Hata bila ya Kwenda Darasani)

Post a Comment

0 Comments