English Kona Fluency Club - English Kona

Hot

Post Top Ad


English Kona Fluency Club

UJUMBE MUHIMU SANA KWA WATU WANAOPENDA KUONGEA KIINGEREZA KWA UFASAHA KABISA NA KWA KUJIAMINI ZAIDI. 

Je unashindwa kuongea kiingereza kwa ufasaha? Kama jibu lako ndiyo basi umefika mahala husika ambapo pata kutimizia ndoto yako ya kuweza kuongea kiingereza kwa ufasaha .

=>Je unafanya makosa ya grammar kila mara unavyoongea kiingereza?
Unashindwa kutamka maneno ya kiingereza kwa ufasaha?

=>Je ni ngumu kwako kuwaelewa waingereza na wamarekani wanavyoongea kwa haraka?

=>Je unaweza kusoma magazeti au makala za kiingereza , lakini unashindwa kuwaelewa waingereza na wamerakni wanavyoongea?

=>Au unaweza kukielewa kiingereza kilichoandikwa lakini unashindwa kukielewa kiingereza cha kuongea?

=>Je umesoma sana kiingereza shuleni lakini mpaka sasa unashindwa kukiongea kwa ufasaha?

=>Je unashindwa kuongea kiingereza kutokana na kutojua maneno mengi ya kiingereza  yani una upungufu wa misamiati kichwani).

Kama una upungufu wa misamiati basi utakupambana na hali hizi :

      -Utaongea kwa kusitasita na vituo vingi.
      -Utahisi kuchanganyikiwa pindi unapojaribu kufikiria au kukumbuka neno la kuongea .
     - Utajihisi huwezi kujielezea vizuri  kwa kiingereza .

(Hivi ushawahi kujiuliza kuwa kiingereza kina maneno zaidi ya 15,000 ?......Je utaanza wapi kujifunza hayo yote?)

KWA KIFUPI UNASHINDWA KUONGEA KIINGEREZA KWENYE MAZUNGUMZO YA KAWAIDA AU YA KILA SIKU.

Jifunze kuyaepuka makosa hayo na uweze kuongea kiingereza kwa ufasaha kabisa na kwa kujiamini zaidi . Pata kazi unayoitaka, faulu mitihani na interview, safiri safari za kimataifa, heshimika kila mara pale unapoongea kiingereza .

"KAMA UKITUMIA ANGALAU DAKIKA 15  KWA SIKU KWENYE MAFUNZO YETU YA KIINGEREZA , BASI UTAWEZA KUONGEA KIINGEREZA KWA UFASAHA NDANI YA MUDA MCHACHE. "

Sasa English Kona imekuandalia kozi (EnglishKona Fluency Club) ambayo itakusaidia uweze kuongea kiingereza kwa ufasaha zaidi na kwa haraka.

Watu wengi wanatumia njia ambazo sio sahihi katika kujifunza kiingereza, hii huwapelekea kutokufanikiwa kukifahamu kiingereza kwa ufasha. Hivi unajua kwamba usomaji wa sheria za grammar sanaa unaumiza uwezo wako kiingereza? Hivyo ndo maana tumeandaa mafunzo ya grammar kwa njia ya asili na rahisi kama anayotumia mtoto mdogo kujifunza lugha mama yake.

Kozi yetu utajifunza kiingereza kama mtoto mdogo anavyojifunza lugha yake mama.

Mtoto mdogo hajifunzi sheria za lugha pia hakariri maneno kichwani lakini bado anaweza kuongea lugha yake kwa ufasaha zaidi . Njia hii ndio tunatumia kukufundishia wewe kiingereza kwa ufasaha zaidi ndani ya wiki 16 tu, yani miezi minne tu unakuwa fasaha katika lugha hii.

Kozi yetu hii inawafaa watu wote, haijalishi umeishia darasa la ngapi ili mradi tu unajua kusoma na kuandika.

Katika kozi yetu hii, tunatoa mafunzo ya kiingereza online kupitia WhatsApp. Katika kozi hii utasoma kwa njia ya notes, audio na videos. Utapata mafunzo hayo kila siku moja kwa moja kwenye simu yako.

Katika kozi hii utasoma peke yako moja kwa moja wewe na mwalimu, na sio kwenye group.

Na utasoma kwa muda wako mwenyewe ambao utakuwa free na utakuwa na uhuru wa kuuliza maswali yoyote ambayo yanakutatiza.

Mafunzo yetu utasoma kwa dakika 15 hadi 20 kwa siku,  kuanzia muda wowote ule na mahali popote utakapojisikia . Hapa inategemegea muda gani utakuwa free kwa sababu ya watu wengi kwenda kazini na kuwa bize.

KOZI YETU NI MIEZI MINNE (4) TU HADI KUWA FASAHA KABISA, NA KILA MWEZI UTAKUWA UNALIPIA SH.12,000 TU.


JIUNGE LEO UIANZE SAFARI YAKO YA KUWEZA KUONGEA KIINGEREZA KWA UFASAHA NA KWA KUJIAMINI ZAIDI.

KUJIUNGA NASI KATIKA KOZI YETU , BOFYA HAPA =>> BONYEZA HAPA <<
AU WASILIANA NASI KWENYE NAMBA HII : WhatsApp / Call : 0767 329 643

Wahi sasa nafasi ni chache...


1 comment:

  1. Ahsante,Je kuna utaratibu wowote ambao ninaweza kuufata endapo nataka kuwa mmoja kati ya walimu wa kozi hii?

    ReplyDelete

Post Top Ad

UJUMBE MUHIMU KWA AJILI YAKO WEWE MSOMAJI:

"TUNAWASAIDIA WATU KUJIFUNZA KUONGEA KIINGEREZA KWA UFASAHA NA KWA KUJIAMINI ZAIDI KUPITIA WHATSAPP"