EnglishKona Fluency Club - English Kona

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

EnglishKona Fluency Club

UNATAKA KUONGEA KIINGEREZA KWA UFASAHA.... ?

Unashindwa kuongea kiingereza kwa ufasaha ? Kama jibu lako ndiyo basi umefika mahala husika ambapo pata kutimizia ndoto yako ili uweze kuongea kiingereza kwa ufasaha .

๐Ÿ‘‰Je unafanya makosa ya grammar kila mara unavyoongea kiingereza ?
Unashindwa kutamka maneno ya kiingereza kwa ufasaha?

๐Ÿ‘‰Ni ngumu kwako kuwaelewa waingereza na wamarekani wanavyoongea kwa haraka ?

๐Ÿ‘‰Unaweza kusoma magazeti au makala za kiingereza , lakini unashindwa kuwaelewa waingereza na wamerakni wanavyoongea ?

๐Ÿ‘‰Au unaweza kukielewa kiingereza kilichoandikwa lakini unashindwa kukielewa kiingereza cha kuongea ?

๐Ÿ‘‰Umesoma sana kiingereza shuleni lakini mpaka sasa unashindwa kukiongea kwa ufasaha ?

๐Ÿ‘‰Ni ngumu kwako kuelewa movie za kiingereza na vipindi vya kiingereza ( hauelewi hadi kuwe na subtitle ndo unaelewa ) ?

๐Ÿ‘‰Je unashindwa kuongea kiingereza kutokana na kutojua maneno mengi ya kiingereza ( yani una upungufu wa misamiati kichwani ) .
Kama una upungufu wa misamiati basi uta :
      -Ongea kwa kusitasita na vituo vingi
      -Utahisi kuchanganyikiwa pindi unapojaribu kufikiria au kukumbuka neno la kuongea .
     - Utajihisi huwezi kujielezea vizuri     kwa kiingereza .
( ushawahi kujiuliza kuwa kiingereza kina maneno zaidi ya 15,000 ?......Je utaanza wapi kujifunza hayo yote ? )

KWA KIFUPI UNASHINDWA KUONGEA KIINGEREZA KWENYE MAZUNGUMZO YA KAWAIDA AU YA KILA SIKU .

Jifunze kuyaepuka makosa hayo na uweze kuongea kiingereza kwa ufasaha zaidi . Pata kazi unayoitaka .Faulu mitihani na interview . Safiri safari za kimataifa . Heshimika kila mara pale unapoongea kiingereza .

SOMA MAELEZO YAFUATAYO UWEZE KUJIFUNZA KIINGEREZA KWA UFASAHA KWA KUTUMIA LISAA LIMOJA TU KWA SIKU .

"KAMA UKITUMIA ANGALAU DAKIKA 15  KWA SIKU KWENYE MAFUNZO YETU YA KIINGEREZA , BASI UTAWEZA KUONGEA KIINGEREZA KWA UFASAHA NDANI YA MUDA MCHACHE . "

Sasa English kona imekuandalia kozi ( EnglishKona Fluency Club ) ambayo itakusaidia uweze kuongea kiingereza kwa ufasaha zaidi na kwa haraka.

Watu wengi wanatumia njia ambazo sio sahihi katika kujifunza kiingereza . Hivi unajua kwamba usomaji wa sheria za grammar sanaa unaumiza uwezo wako kiingereza ? Hivyo ndo maana tumeandaa mafunzo ya grammar kwa njia ya asili na simple kama anayotumia mtoto mdogo kujifunza lugha mama .

Kozi yetu utajifunza english kama mtoto mdogo anavyojifunza lugha yake mama .

Mtoto mdogo hajifunzi sheria za lugha pia hakariri maneno kichwani lakini bado anaweza kuongea lugha yake kwa ufasaha zaidi . Njia hii ndio tunatumia kukufundishia wewe kiingereza kwa ufasaha zaidi ndani ya wiki kumi na


Kozi yetu imegawanyika katika makundi mawili :

Kundi la kwanza : Hili ni kundi la watu ambao hawajui kiingereza kabisa au wanajua kidogo  . Watu hawa watachukua miezi minne tu hadi kuwa fasaha kabisa na ada yao ni sh.10,000 tu kwa mwezi .

Kundi la pili : Hili ni kundi la watu ambao kiingereza wanakijua sema wanashindwa kuongea na kuelewa kwa ufasaha . Watu hawa watachukua miezi miwili tu hadi kuwa fasaha na ada yao ni sh.15,000 tu kwa mwezi .

Kozi zetu haijalishi kiwango cha elimu yako uliyofikia ( iwe umeishia darasa la saba , kidato cha nne au sita au upo chuo au unafanya kazi . )
Utaongea kiingereza automatically bila ya kutafsiri maneno kichwani .

Mafunzo yetu utasoma kwa dakika 15 hadi 20 kwa siku,  kuanzia muda wowote ule na mahali popote utakapojisikia . Hapa inategemegea muda gani utakuwa free kwa sababu ya watu wengi kwenda kazini na kuwa bize .

Na pia haina haja ya kwenda tuition au kwenye vituo vya kufundisha kiingereza , hapa ni wewe tu na simu yako , hii ni kutokana na mafunzo yetu yanatolewa kwa njia ya WhatsApp .
Pia utapata muda mwingi wa kufanya mazoezi na mwalimu .

Mafunzo yanapatikana WhatsApp kwa shilingi 10,000 au 15,000 tu kwa mwezi ( inategemea na level yako ) .

Utasoma kwa notes , voice notes na video .

Wahi sasa nafasi ni chache...
KUJIUNGA NASI KATIKA KOZI YETU , BOFYA HAPA ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ BONYEZA HAPA
AU WASILIANA NASI KWENYE NAMBA HII 0767329643 .

1 comment:

  1. Lets God keep your spirit of helping people for ever. God bless you guys

    ReplyDelete

Post Top Ad