Jifunze kuongea Kiingereza kwa UfasahaJIFUNZE KUONGEA KIINGEREZA KWA UFASAHA KUPITIA WHATSAPP YAKO


English Kona tunakusaidia kujua kuongea na kuandika Kiingereza kwa ufasha kabisa. 

Tunakufundisha Kiingereza mpaka uelewe kabisa kwa njia ya WhatsApp.

Tunatoa kozi ya kiingereza kwa njia ya WhatsApp, ambayo utasoma kwa njia ya Notes, Audio pamoja  na Videos. Masomo yetu yapo katika mtiririko mzuri (yani yanaanzia mwanzo kabisa mpaka mwisho). 

Utapokea mafunzo yetu moja kwa moja kupitia simu yako kila siku, yaan utakuwa unasoma wewe na mwalimu.


UZURI WA KOZI YETU :

- Unajifunza mahali popote pale ulipo na muda wowote ule ambao utakuwa free.

- Mafunzo yetu ni rahisi hivyo utaelewa vizuri na kwa haraka zaidi.

- Utafanya mazoezi ya kuongea ya kutosha, hivyo itakuwa rahisi kwako kuifahamu lugha hii kwa ufasaha zaidi.

- Utaweza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha na kujiamini zaidi ndani ya muda mfupi.

Mafunzo yetu ni ya miezi minne mpaka kuwa fasaha.

Kwa sasa tupo katika OFA KUBWA :


OFA YETU hii ya leo ni utaweza kujiunga katika kozi yetu kwa gharama ya sh.7,000 tu mwezi mzima badala ya sh.15,000.


Hivyo huu ni wakati wako sasa wa kujifunza na kukiboresha kiingereza chako ili uweze kuongea kiingereza kwa ufasaha na kwa kujiamini zaidi.


JIUNGE leo kwa gharama ya sh.7,000 tu.


BONYEZA HAPA KUJIUNGA


Au wasiliana nasi :

WhatsApp/Call/Text : 0620 613 269


Post a Comment

0 Comments